Maagizo ya Magufuli kwa TCRA

 • Chanzo chetu ndani ya TISS na TCRA kimethibitisha kuwa TCRA wamepewa maelekezo na Magufuli kuthibiti matumizi ya mitandao hasa social media kuelekea uchaguzi mkuu 

  • TCRA imeagiza makampuni ya simu yote kupunguza kiwango cha ujazo wa MBs/GBs kwenye vifurushi vya internet haraka iwezekanavyo na hilo limeanza kutekelezwawiki 3 zilizopita
  • TCRA wameagizwa wawasiliane na kuamuru ISPs note kuweka system itakayo kuwa inafanya kitu kinaitwa deep packet inspection
  • Deep packet inspection - is a type of data processing that inspect in details all the data being sent over a computer re-routes accordingly..
1 comment
 • Adam Kessi
  Adam Kessi #meko amekosa jambo la kufanya mpaka kuzuia mawasiliano
  October 23, 2020 - Report