TISS na CCM walivyopanga kuvuruga uchaguzi

 • Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe jana tarehe 21.10.2020 kafanya kikao na wasimamizi,wasimamizi wasaidizi na makarani wote wa uchaguzi kwa Kinondoni na Kawe ka kuwapa maelekezo ya jinsi watakavyo iba kura 

  1. Watahakikisha kuna kundi la watu wa CCM wanakuja na kura zimekwishapigwa kati ya 1--20 na kuzitumbukiza kwenye masanduku ya kura 

  2. Zoezi hilo wanapanga kulifanya mapema sana asubuhi saa1 kabla ya mawakala wa upinzani hawajafika ambao wamewaambia kuwa wafike saa 2 asubuhi ndiyo vituo vitakuwa vimefunguliwa... 

  3. Mawakala wa upinzani wakionekana kuhoji lolote wameelekeza polisi kuwatoa nje ya kituo cha kupigia kura kwa nguvu ..

   

  Sasa ni hivi wapiga kura na wanachama hasa wa chadema yaani ikiwezekana fikeni vituoni hata saa 11 asubuhi na hakikisheni hakuna zoezi linaanza mpaka wakala wenu awe ndani ya kituo maana wamepanga kuwachelewesha mawakala wenu kwa kisingizio majina yao hayapo kwa msimamizi au yamechelewa kufika