Forums » Tanzania Covid-19 DASHBOARD

Rais Magufuli na umbumbumbu wake kwenye sayansi

 • August 16, 2020 1:49 PM MSK

  Jana nimemsikiliza Rais Magufuli akihutubia mkutano mkuu wa kanisa la TAG huko Dodoma na nimepatwa na mshangao sana kama kweli huyu ni mwanasayansi na ni mhitimu kabisa wa PhD ya Kemia na kama aliwahi kuwa mwalimu.

  Covid -19 ni janga la kisayansi na dunia nzima wanasayansi wanahangaika kutafuta chanjo ya kutibu hili janga ,yeye bila aibu anasimama anatamka kuwa maombi yamesaidia corona imekwisha!! Kauli kama hizi ni za hovyo sana kutoka kinywani mwa kiongozi wa nchi. Yeye ashukuru anaongoza taifa lililojaa wajinga ndiyo maana anaweza kufanya upuuzi wa hivi akaangaliwa tu.

  Huyu alishatuma ndege kwenda kufuata dawa Madagascar matokeo yake hao hao Madagascar sasa wana hali najmu sana na janga limewaelemea kwa kuwa wana kiongozi wa hovyo aliyeleta mchezo na huu ugonjwa. Yanayotokea Brazil hakuna haja ya kuyasimulia kwa kuwa kila itu anayajua. Tuliambiwa yale madawa wanayafanyia utafiti kwanza sasa sijui ule utafiti wa hizo dawa za Madagascar umefikia wapi? \ud83d\ude02\ud83d\ude02

  Yaani Magufuli anajua kabisa nchi hii ina tatizo kubwa la Ukimwi na magonjwa mengine mengi sana. Kama maombi yanatibu magonjwa haya anangojea nini sasa kufanya maombi ya kitaifa yatoweke,ili kusiwe n ahaha ya kujenga mahospitali na kununua madawa maana maombi yanatibu kama vidonge yaani? Kama maombi yanatibu anangoja nini hataki kufanya maombi ili mama yake aliyeko kwenye "vegetative state" mwaka wa 3 sasa hawezi hata kupinduka aombewe na ainuke kitandani na life supporting machine izimwe?

  Kama maombi yanasaidia sana ,kuna ugumu gani yeye binası kuombewa apone magonjwa yanayomfanya ashauriwe asipande ndege umbali mrefu? Kama maombi yanasaidia ni kwa nini ana kundi la madaktari mpaka wa afya ya akili kama maombi yanasaidia? 

  Kwangu mimi Rais anayetumia umbumbumbu wa watu wake na kuwaaaminisha mambo yasiyo sahihi kisayansi simtofautishi kabisa na otu anayefanya mauaji ya kukusudia ya watu wake.

 • October 20, 2020 3:56 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:04 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:04 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:04 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:04 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:04 PM MSK
  TZ Covid Observer said: