Forums » Uchumi/ Economy

Corona inatuathiri kiuchumi kuliko tunavyodhani!

 • August 18, 2020 1:37 PM MSK

  Tutake tusitake, hakuna namna inapokuja kwenye suala la COVID19, duniani hatuchekani katika madhara ya kiuchumi! Katika ripoti ya BBC kuhusu madhara ya Corona duniani inaonekana kwenye suala la ukuaji wa pato la Taifa dunia nzima tumepigika. Sisi tunadaiwa kukua kwa 2.5 – 5.0 % na mataifa kama marekani wako kwenye negative – lakini hatuna cha kusherekhea hapo! Kiukweli tumeshaumia na kibaya zaidi tumeshindwa hata kupambana kupata mikopo au misaada muhimu iliyokuwa inatolewa na Bretton Woods institutions.

  Pigo kubwa kabisa ni utalii na kwa sasa ni wazi, serikali inahangaika kuficha ukweli kuwa hakuna watalii wa kutosha kuweza kukidhi matarajio yaliyowekwa.

  Tunaona namna serikali inavyotangaza mashirika ya ndege kurudi tena angani lakini swali ni kwamba zinabeba watalii wangapi?

  Hata wakijitahidi vipi kupiga picha akini ni wazi ndege hazijai na watalii wanaokuja ni sehemu ndogo sana ya idadi iliyozoeleka ya milioni 2 kwa mwaka tunaowapokea. Na sababu kubwa ni kwamba kutokana na kuwa Tanzania tumeficha ukweli na data kuhusu Corona, wasafiri wanaotoka kwetu kurudi makwao lazima wakae siku 14 karantini. Watalii wachache wako tayari kutumia tena wiki 2 za ziada kutoka likizo yao kujifungia ndani

  Mfano mzuri ni hivi karibuni baada ya serikali ya Uingereza kurudisha sharti la karantini kwa wasafiri wanaotoka Ufaransa. Waingereza waliokuwa wameenda kutalii huko walirudi mbio, kabla ya sharti hili kuanza kutumika ili kukwepa karantini

  https://www.euronews.com/2020/08/13/france-the-netherlands-and-malta-added-to-the-uk-s-coronavirus-travel-quarantine-list

  Hiki ni kigezo kizuri kuwa watalii kwa sasa kuja Tanzania itakuwa kwa kupima risk nyingi ambazo wachache watakuwa tayari kuzichukua

  Tukubali kuwa uchumi wetu umeyumba na utayumba na kuendelea kuleta ubishi kwenye suala hili la Corona litatugharimu sana.

 • October 20, 2020 3:56 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:03 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:03 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:04 PM MSK
  Tanzanian Economist said: