Forums » Haki za Binadamu/ Human Rights

Emmanuel Tayari aka Tanzania

 • August 19, 2020 9:55 PM MSK

  Huyu ni miongoni mwa vijana matapeli na wajanja wajanja waliotumia udhaifu wa mfumo na ushamba wa viongozi wa nchi wakajipenyeza na mpaka kufikia eti kuwa mshauri wa wawekezaji Tanzania.

  Huyu hachoki kuita wazungu mabeberu lakini mkewe Rhoda Kijo yuko Newcastle Uingereza miała zaidi ya 15 anaishi huko na watoto wao akiishi kwa kupata stahiki(benefits) za kulea watoto ambazo ni kodi ya hao anaowaita mabeberu kama alivyopiga nao picha hago juu.

  Vyanzo vyetu vya kuaminika vimethibitisha kuwa huyu alihusika na matukio mawili ya kutekwa kwa Tito Magoti,Raphael Ongang na anahusishwa na kikosi kilichomteka na kufanikisha kuuwawa kwa Azory Akiwa na Albert Msando aliyekuwa ndiye mkuu wa planning wa hiyo task force ya TISS kipindi cha Kipilimba.

  Kikosi kazi cha fichuaTanzania kinamalizia kufanya upembuzi wa taarifa zake na utapeli wake alioanza kuufanya toka 2012 na kampuni lake ya kitapeli ya Tayaliland Company huko Uingereza aliyoisajili na Mkewe Rhoda Kijo.. Tutakuja hapa na ripoti kamili.

  Kwa matendo ambayo anahusishwa nayo,huyu ni miongoni mwa watu hatari sana kwa haki za binadamu hapa Tanzania na lazima awekwe wazi ili watu aliowadhulumu uhai wao waje kupata haki yao hapa duniani na mbinguni..

  #fichuaTanzania

  This post was edited by Spear of The Nation at August 19, 2020 9:57 PM MSK
 • October 20, 2020 3:55 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:03 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:03 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:03 PM MSK
  Spear of The Nation said: