Forums » Sera za Vyama vya Siasa Uchaguzi 2020/ Elections Manifestos

CCM hawako serious na suala la ajira

 • September 10, 2020 12:38 PM MSK

  Wahenga waliposema njia ya muongo ni fupihii ndiyo ilikuwa maana yake halisi. 

  • Chama tawala na kikubwa kama CCM kinadanganya wazi wazi na kukosa umakini kwenye ilani yao na kuandika takwimu tofauti za ajira watakazo tengeneza ndani ya miaka 5 ijayo
  • Hii ni wazikuwa wanaandika mambo ya uongo na yasiyotekelezeka 
  • Hii inaleta maswali mengi sana juu ya nani aliyekuwa anaandika hii ilani na ikawa na makosa makubwa kiasi hiki
 • October 20, 2020 3:55 PM MSK
  1
 • October 20, 2020 4:03 PM MSK
  Spear of The Nation said: