Forums » Presidential campaigns/ Kampeni za urais

Kampeni za Lissu Mlalo leo 20.10.2020

  • October 20, 2020 10:26 PM MSK

    Kama Meko na CCM wanadhani mwaka huu watu wanafanya utani basi watakuwa wanajidanganya sana.. Yaani ifike mahali waelewe kuwa mwaka huu wanaondoka na waanze kukubali hali hiyo kwa maana kila dalili ziko wazi.

    Meko anaishia kufanya kampeni mikoani na mabarabarani anaogopa kuingia wilayani na vijijini kwa kuwa afya ni tatizo !