Forums » Presidential campaigns/ Kampeni za urais

Kwani Meko ana shida gani ya afya?

  • October 20, 2020 10:30 PM MSK

    Meko kila anapokwenda na kuhutubia lazima kuwe na feni karibu.. elo tumeona mpaka kwenye gari alipokuwa kwenye roof top kuna feni zimewekwa? Huyu mtu ni imara kwelikuongoza? Tunajua ana shida za kiafya za kukosa kinga muda mrefu lakini this is gross now.. Halafu mbona viguu vyake na vipaja ni kama ana POLIO? 

    Do we have a healthy President kweli?