Forums » Siasa/Politics

Meko hakustahili hata kuwa nomineee

  • January 4, 2021 2:20 AM MSK

    Yaani Meko inajulikana dunia nzima kuwa ni mwizi wa kura na imeonekana wazi kwenye uchaguzi uliopita kuwa kaiba kura.. Anakuwaje nominee kwenye hii kitu? Haya ndiyo yale magazeti wanayoyanunua akina Dr Abass ili kufanya hizi polls na awards feki...