Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine

Ibara ya 20(1) ya katiba ya Tanzania inasema - “Kila mtu anastahili kuwa huru bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani ,kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine kutoa mawazo hadharani”
Invite

Browse Members